iqna

IQNA

mulla sadra
Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /15
TEHRAN (IQNA) – Tafsir al-Quran al-Karim ni tafsiri ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa na Mulla Sadra, mwanafalsafa mashuhuri wa ulimwengu wa Kiislamu na mwanzilishi wa chuo cha Hikma al-Muta’aliya.
Habari ID: 3476460    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25